Yohane wa Matha

Yohane wa Matha (Faucon-de-Barcelonnette,[1] Ufaransa, 23 Juni 1154 - Roma (Italia) 17 Desemba 1213) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa mwanzilishi wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani.

Mt. Yohane wa Matha
Sanamu ya mkaapweke Felix wa Valois pamoja na mwanafunzi wake Yohane wa Matha. Charles Bridge, Prague.

Heshima aliyopewa tangu kale kama mtakatifu ilithibitishwa na Papa Alexander VII tarehe 21 Oktoba 1666.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Desemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. 1924.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.