Yosefu Gabrieli wa Rozari

Yosefu Gabrieli wa Rozari (kwa Kihispania: José Gabriel del Rosario Brochero; Santa Rosa de Río Primero, Argentina, 16 Machi 1840 – Villa del Tránsito, Córdoba, Argentina, 26 Januari 1914) alikuwa padri aliyeugua ukoma kutokana na utume mkubwa kwa ajili ya wagonjwa na fukara[1].

Picha halisi ya Mt. Yosefu Gabrieli uzeeni.

Alitangazwa na Papa Fransisko kuwa mwenye heri tarehe 14 Septemba 2013, halafu mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyozaliwa[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.