Ajuma Ameh-Otache
Mchezaji wa soka wa Nigeria (1984-2018)
Ajuma Ameh-Otache (1 Desemba 1984 - 10 Novemba 2018) alikua mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria.ambaye amecheza kama kiungo kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria alishiriki katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004. Ajuma Ameh-Otache alicheza katika klabu ya Pelican Stars. Ameh-Otache alifariki mnamo 10 Novemba, 2018 akiwa na umri wa miaka 33 hakuna undani zaidi wa sababu ya kifo chake uliotolewa.[1][2] [2][3]
Ajuma Ameh-Otache
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Tarehe ya kuzaliwa | 1 Desemba 1984 |
Mahali alipozaliwa | Nigeria |
Tarehe ya kifo | 10 Novemba 2018 |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Nigerian Pidgin |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Mwanachama wa timu ya michezo | Nigeria women's national football team |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2004 Summer Olympics |
Marejeo
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ajuma Ameh-Otache kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino