2004
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |Karne ya 20 |Karne ya 21
◄ |Miaka ya 1970 |Miaka ya 1980 |Miaka ya 1990 |Miaka ya 2000| Miaka ya 2010
◄◄ |◄ |2000 |2001 |2002 |2003 |2004| 2005| 2006| 2007| 2008| ►| ►►
Jan.| Feb.| Mac.| Apr.| Mei| Jun.| Jul.| Ago.| Sep.| Okt.| Nov.| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2004 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
- 13 Januari - Harold Shipman, daktari na muuaji mfululizo kutoka Uingereza, alijiua gerezani
- 15 Machi - John Pople, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 5 Juni - Ronald Reagan, Rais wa Marekani (1981-1989)
- 1 Julai - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 21 Julai - Edward Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 28 Julai - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 6 Agosti - Donald Justice, mshairi kutoka Marekani
- 12 Agosti - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 14 Agosti - Czeslaw Milosz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1980)
- 15 Agosti - Sune Bergström, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 5 Oktoba - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 20 Oktoba - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani
- 13 Novemba - Ol' Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Novemba - John Vane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 2 Desemba - Mona Van Duyn, mshairi kutoka Marekani
- 19 Desemba - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 29 Desemba - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz