Aloi
Aloi ni mchanganyiko wa elementi mbili au zaidi wenye tabia ya kimetali; angalau elementi moja ndani yake ni metali pia.
Zatengenezwa kwa njia ya: 1) Kuyeyusha metali 2) Kuichanganya katika hali ya kiowevu pamoja nyongeza zote3) Kupoza yote hadi imekuwa imara
Mifano ya aloi zinazotumiwa sana ni kama vile:
- shaba nyeupe kutokana na 35% zinki na 65% shaba - yatumiwa kwa vyombo vya muziki na mapambo mengi
- bronzi kutokana na 87% shaba na 13% stani - yatumiwa kwa parafujo, vyuma vya mashua
- feleji kutokana na chuma pamoja na bati, nikeli na kaboni
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aloi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz