Bernardo Tolomei
Bernardo Tolomei, O.S.B. (10 Mei 1272 – 20 Agosti 1348) alikuwa padri mmonaki wa Italia maarufu kama mwanateolojia na mwanzilishi wa urekebisho wa Wabenedikto wa Monte Oliveto.
Papa Inosenti X alimtangaza mwenyeheri tarehe 24 Novemba 1644, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1] au jana yake.[2]
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz