Nenda kwa yaliyomo

CNN

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka CNN International)
Nembo ya CNN

Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.

Vipindi

Vipindi vinavyonyeshwa sasa

Jumatatu - Ijumaa

North American Eastern Standard Time Zone|ETKipindiMwanahabariJijiMaelezo
6a-9a
American Morning
John Roberts and Kiran ChetryNew Yorkmorning news program.
9a-11a
CNN Newsroom
Heidi CollinsAtlantaKuipindi cha kutangaza habari.
11a-1p
Tony Harris
1p-3p
Kyra Phillips
3p-4p
Rick SanchezSanchez huwasiliana na watazamaji kwa kutumia tovuti kama Twitter na Facebook.
4p-7p
The Situation Room
Wolf BlitzerWashington D.C.Kipindi kinachozingatia habari kwa ufupi, kwa kuzingatia siasa, usalama, na taarifa zenye kuwatia hamu watazamaji.
7p-8p
CNN Tonight
Wanahabari tofautiNew York/AtlantaHabari kwa ufupi.
8p-9p
Campbell Brown
Campbell BrownNew YorkMahojiano kuhusu siasa na habari zinazohusu wapigaji kura.
9p-10p
Larry King Live
Larry KingLos AngelesKipindi cha mahojiano na watu maarufu.
10p-12a
Anderson Cooper 360
Anderson CooperNew YorkKipindi cha kutangaza habari.

Saturday

ETKipindiMwanahabariJijiMaelezo
6a-730a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. HolmesAtlantaKipindi cha kutangaza habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay GuptaNew YorkKipindi cha matibabu na dawa.
8a-930a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. HolmesAtlantaKipindi cha habari.
930a-10a
Your Bottom Line
Gerri WillisNew YorkKipindi kinachozingatia fedha.
10a-12p
CNN Newsroom
Betty Nguyen and T. J. HolmesAtlantaKipindi kinachtangaza habari.
12p-1p
Fredricka Whitfield
1p-2p
Your $$$$$
Ali Velshi na Christine RomansNew YorkKipindi cha biashara.
2p-5p
CNN Newsroom
Fredricka WhitfieldAtlantaKipindi cha taarifa ya habari.
5p-6p
Don Lemon
6p-7p
The Situation Room
Wolf BlitzerWashington D.C.Kipindi cha habari za siasa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don LemonAtlantaKipindi cha habari.
8p-9p
CNN Special Investigations Unit / CNN Presents / Other specials
Kipindi tofauti tofauti
9p-10p
Larry King Live
Larry KingLos AngelesKipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don LemonAtlantaKipindi cha habari.

Jumapili

ETKipindiMtangazajiJijiMaelezo
6a-730a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. HolmesAtlantaKipindi cha taarifa ya habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay GuptaNew YorkKipindi cha matibabu.
8a-9a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. HolmesAtlantaKipindi cha habari.
9a-10a
State of the Union with John King
John KingWashington D.C.Kipindi cha siasa.
10a-11a
Howard KurtzReliable Sources ni kipindi cha kuzingatia uanahabari.
11a-1p
John Kingkipindi cha siasa.
1p-2p
Fareed Zakaria GPS
Fareed ZakariaHubadilikaMajadiliano kuhusu habari za kimataifa.
2p-3p
Amanpour
Christiane AmanpourHubadilikaMajadiliano kuhusu habari za kimataifa.
3p-4p
Your $$$$$Ali Velshi na Christine RomansNew YorkKipindi cha habari za kimataifa.
4p-6p
CNN Newsroom
Fredricka WhitfieldAtlantaTaarifa ya habari.
6p-7p
Fareed Zakaria GPS
Fareed ZakariaHubadilikaMahojiano kuhusu habari za kimataifa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don LemonAtlantaTaarifa ya habari.
8p-9p
State of the Union with John King / CNN SIU / CNN Presents
9p-10p
Larry King Live
Larry KingLos AngelesKipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don LemonAtlantaTaarifa ya habari.

Wachambuzi wa kisiasa

  • Jack Cafferty, Mwanahabari
  • Gloria Borger, Mchambuzi mkuu wa siasa
  • Candy Crowley, Mwanahabari mkuu wa siasa
  • Ali Velshi, Mwanahabari wa biashara
  • Jeff Toobin, Mchambuzi mkuu wa sheria
  • Bill Schneider, Mwanahabari mkuu wa siasa
  • David Gergen, Mchambuzi mkuu wa siasa
  • John King, Mwanahabari mkuu

Stesheni maalum

Mahojiano katika CNN en Español
  • CNN.com Live
  • CNN Airport Network
  • CNN Checkout Channel
  • CNN en Español
  • HLN (TV network)|HLN
  • CNN International
  • CNN+ (a partner network in Spain, launched in 1999 with Sogecable)
  • CNN TÜRK A Turkish media outlet.
  • CNN-IBN An Indian news channel.
  • CNNj A Japanese news outlet.
  • CNN Chile A Chilean news channel launched on 4 Desemba 2008.
  • n-tv German 24 hour news channel in German language. In 2009, on air graphic (DOG position and news ticker) is like CNN. Owned by RTL Group

Ofisi

Ofisi za CNN kote duniani
Kituo cha CNN mjini Atlanta.
Studio ya CNN.

Marekani

Ofisi zingine duniani

Marejeo

Viungo vya nje

🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz