Enrique Iglesias


Enrique Miguel Iglesias Preysler (amezaliwa tar. 8 Mei 1975, mjini Madrid, Hispania) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana Julio Iglesias na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya telesheni wa Kifilipino Bi. Isabel Preysler.

Enrique Iglesias
Enrique Iglesias
Enrique Iglesias
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaEnrique Miguel Iglesias Preysler
Amezaliwa8 Mei 1975 (1975-05-08) (umri 48)
Madrid, Hispania
Asili yakeMiami, Florida, US
Aina ya muzikiPop, Latin pop, R&B
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi
AlaSauti
Miaka ya kazi1995–hadi leo
StudioInterscope, Universal Music Latino
Ame/Wameshirikiana naNadiya, Lil Wayne, Sean Garrett, Ciara, Whitney Houston, Sarah Connor, Lionel Richie, Kelis, Gabriella Cilmi, Tyssem
Tovutiwww.enriqueiglesias.com

Enrique alianza shughuli za muziki na studio moja iitwayo Fonovisa Records ambayo ndio iliomsadia kuwa miongoni mwa wanamuziki maarufu huko Latin Amerika na katika soko la muziki wa Kilatin huko Marekani, na kuuza albamu nyingi za Kihispania kuliko msanii yoyote yule wa Kihispania, kwa muda wote.

Diskografia

Makala kuu ya: Diskografia ya Enrique Iglesias

Studio Albamu kwa Kihispania

  • 1995: Enrique Iglesias
  • 1997: Vivir
  • 1998: Cosas del Amor
  • 2002: Quizás

Studio Albamu kwa Kiingereza

  • 1999: Enrique
  • 2001: Escape
  • 2003: 7
  • 2007: Insomniac

Kompilesheni

  • 1998: Remixes
  • 1999: Bailamos Greatest Hits
  • 1999: The Best Hits
  • 2008: Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
  • 2008: Greatest Hits

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enrique Iglesias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.