Whitney Houston

Whitney Elizabeth Houston (9 Agosti 1963 - 11 Februari 2012) alikuwa mwimbaji maarufu, mcheza filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto.[2] Anafahamika zaidi kwa kupitia wimbo wake wa "I Will Always Love You" na "I Wanna Dance with Somebody" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'

Whitney Houston
Whitney Houston akiimba kwenye Welcome Home Heroes with Whitney Houston mnamo 1991
Whitney Houston akiimba kwenye Welcome Home Heroes with Whitney Houston mnamo 1991
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaWhitney Elizabeth Houston
AmezaliwaAgosti 9 1963 (1963-08-09) (umri 60)
Newark, New Jersey, US
Asili yakeEast Orange, New Jersey
AmekufaFebruari 11, 2012 (umri 48)
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mtayarishaji wa filamu, mwanamitindo
AlaSauti, piano
Aina ya sautiMezzo-soprano[1]
Miaka ya kazi1977–2012
StudioArista
Tovutiwww.whitneyhouston.com

Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni pamoja na The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.

Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills,California.[12]

Wasifu

Maisha ya awali

Diskografia

Makala kuu ya: Diskografia ya Whitney Houston
Studio albamu
  • Whitney Houston (1985)
  • Whitney (1987)
  • I'm Your Baby Tonight (1990)
  • My Love Is Your Love (1998)
  • Just Whitney (2002)
  • I Look to You (2009)

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.