Ewa Pajor
Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Poland
Ewa Pajor (alizaliwa Tarehe 3 Mwezi Desemba ,1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg. Ni mchezaji mdogo zaidi kwa ambae alicheza katika ligi Ekstraliga nchini Polandi akiwa na umri wa miaka 15 alipokea tuzo ya UEFA ya Golden kwa mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 17 barani Ulaya.[1]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/69/2018_Women%27s_DFB-Pokal_Final_-_Ewa_Pajor_%28Wolfsburg%29_%28cropped%29.jpg/180px-2018_Women%27s_DFB-Pokal_Final_-_Ewa_Pajor_%28Wolfsburg%29_%28cropped%29.jpg)
Mnamo Juni 2015 Pajor alijiunga na VfL Wolfsburg kwa mkataba wa miaka miwili. Mnamo Aprili 2020, Pajor alisaini mkataba zaidi na Wolfsburg hadi 2023.[2]
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ewa Pajor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia