Ezzaki Badou

Ezzaki Badou, (الزاكي بادو; maarufu kwa jina la Zaki, alizaliwa 2 Aprili, 1959) ni mkufunzi wa soka na mchezaji wa zamani wa Moroko ambaye alicheza kama mlinda mlango. Anasimamia Timu ya Taifa ya Sudan.

Zaki mwaka 2009

Mafanikio

Mchezaji

Wydad Casablanca

  • Botola: 1977–78, 1985–86[1]
  • Coupe du Trône: 1978, 1979,[2] 1981[3]
  • Kombe la Mohammed V: 1979

RCD Mallorca

Mkufunzi

Wydad Casablanca

  • Coupe du Trône: 1998[4]
  • CAF Cup fainali: 1999
  • Arab Club Champions Cup fainali: 2009

CR Belouizdad

  • Cup of Algeria: 2017

Morocco

Binafsi

  • Mchezaji Bora wa Morocco: 1979, 1981, 1986, 1988
  • Mlinda mlango Bora wa Morocco: 1978, 1979, 1986
  • CAF African Footballer of the Year: 1986
  • Mchezaji Bora wa Kiarabu wa Mwaka: 1986
  • Golden Ball mkufunzi bora nchini Algeria: 2017[6]
  • Ricardo Zamora Trophy: 1988–89[7]
  • Mlinda mlango bora wa La Liga: 1988, 1989, 1990
  • Mlinda mlango bora wa Kiarabu wa karne ya 20
  • IFFHS Mlinda mlango bora wa Kiafrika wa karne ya 20[8]
  • IFFHS Timu Bora ya Ndoto ya Wanaume wa Morocco ya wakati wote[9]

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ezzaki Badou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.