Hadrissa
Pilipili ya kupika nchini Tunisia
Harissa (kwa kiarabu: هريسة harīsa, kutokea kiarabu cha Maghrebi) ni pilipili yamoto iliyoandaliwa kwa kupikwa inayoutumika sana na watu wa Maghreb. Viungo vinavyotumika ni pilipili hoho, hoho za baklouti (بقلوطي), mitishamba kama kitunguu saumu, mbegu za kisibiti, giligilani, jira, mafuta ya mzeituni.[1] Harissa pia hutengenezwa kwa petali za maua.[2]
Picha
- Harissa
- harissa
- Mchuzi wa Harissa
- mchuzi wa harissa ukitengenezwa nyumbani
- Harissa
- Harissa
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hadrissa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino