Ilya Prigogine
'
Ilya Prigogine | |
---|---|
Ilya Prigogine (1977)]] | |
Amefariki | 28 Mei 2003 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya Ubelgiji |
Ilya Prigogine (25 Januari 1917 – 28 Mei 2003) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ubelgiji, ila alizaliwa nchini Urusi. Hasa alichunguza jinsi mfumo wa ulimwengu ukwepavyo hali ya kupoteza nishati. Mwaka wa 1977 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ilya Prigogine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz