J. M. Coetzee
Mwandishi wa Afrika Kusini
John Maxwell Coetzee (amezaliwa 9 Februari 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa ameandika riwaya kuhusu athari za apartheid. Mwaka wa 2003 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
J. M. Coetzee | |
Amezaliwa | John Maxwell Coetzee 9 Februari 1940 Cape Town, Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | Mwandishi |
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu J. M. Coetzee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz