Jimbo la Bremen
Jimbo la Bremen ni moja ya majimbo 17 ya kujitawala ya Shirikisho la Ujerumani. Jina rasmi ni "Mji huru wa Hanse wa Bremen" (Freie Hansestadt Bremen). Hanse ilikuwa shirikisho la kimataifa la miji ya biashara iliyojitawala katika karne za kati. Kwa muda mrefu wa historia yake Bremen ilikuwa dola-mji, kama nchi ndogo ya kujitegemea, hadi kujiunga na Dola la Ujerumani 1871.Jimbo lina miji miwili tu: Bremen yenyewe na Bremerhaven.
Picha za Bremen
- Mto Weser huko Bremen
- Wanamuziki wanne wa Bremen
- Nguzo ya Roland, alama ya kujitawala
- Jengo la kale mtaani Böttcherstraße
- Weserstadion ya FC Werder Bremen
Viungo vya nje
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Bremen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz