Kiuab-Meto
Kiuab-Meto (pia Kiatoni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauab-Meto kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiuab-Meto imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuab-Meto iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiuab-Meto kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiuab-Meto
- lugha ya Kiuab-Meto katika Glottolog
- lugha ya Kiuab-Meto kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiuab-Meto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia