Lugha za Kiitalia
Lugha za Kiitalia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Italia. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Kufikia mwanzo wa milenia ya 1 BK zote zilimezwa na Kilatini, lugha muhimu zaidi ya kundi hilo.
Viungo vya nje
- TM Texts Italic A list of all Italic texts in Trismegistos.
- Michael de Vaan (2008) Etymological Dictionary of Latin and the other Italic Languages p.826, Leiden Indo-European Etymological Dictionaries Series, Brill Academic Publishers, (part available freely online)
- "Tree for Italic". Linguist List, Eastern Michigan University. 2010. Iliwekwa mnamo 4 April 2010. Check date values in:
|accessdate=
(help) - "A Glossary of Indo-European Linguistic Terms". Institut für deutsche Sprache und Linguistik. 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 December 2008. Iliwekwa mnamo 16 September 2009. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiitalia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz