Marco Polo
Marco Polo (15 Septemba 1254 – 8 Januari 1324) alikuwa mpelelezi na mfanyabiashara wa Kiitalia. Ndiye wa kwanza kufanya upelelezi katika nchi zilizokingama na bara la Asia na “Mashariki ya Mbali” na wa kwanza kufanya upelelezi duniani kwa jumla.
Alichangamsha Ulaya nzima kwa kusimulia habari za safari zake katika kitabu "Il Milione" (yaani Milioni)
Inasemekana kuwa Marco Polo, ndiye aliyeleta chakula cha spaghetti nchini Italia. Alikipata chakula hicho huko Uchina na kukipeleka kwao.
Kati ya wapelelezi wengine wa Italia alikuwepo Christopher Columbus, ambaye alifuata nyayo za Marco, lakini kupitia magharibi.
Marejeo
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marco Polo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz