Maria Katharina Kasper

Maria Katharina Kasper (Dernbach, Nassau, Ujerumani, 26 Mei 1820 – Dernbach, 2 Februari 1898) alikuwa bikira aliyehudumia maskini kwa ukarimu na hatimaye alianzisha shirika la Wajakazi Fukara wa Yesu Kristo ili kumhudumia Bwana katika watu wake maskini.

Mt. Maria Katharina.

Tarehe 16 Aprili 1978 alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI, halafu tarehe 14 Oktoba 2018 alitangazwa mtakatifu na Papa Fransisko.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.