26 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 26 Mei ni siku ya 146 ya mwaka (ya 147 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 219.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Filipo Neri, Papa Eleuteri, Simetri, Felichisima wa Todi, Prisko na wenzake, Desideri wa Vienne, Berengari wa Saint-Papoul, Lambati wa Vence, Mariana wa Yesu, Petro Sans, Yosefu Chang Songjib, Yohane Doan Trinh Hoan, Mathayo Nguyen Van Phuong, Andrea Kaggwa, Ponsyano Ngondwe n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 26 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.