Maria wa Mlima Karmeli
Maria wa Mlima Karmeli (jina la awali: Carmen Sallés y Barangueras; Vic, Barcelona, 9 Aprili 1848 - Madrid, 25 Julai 1911) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Masista Wakonsesyoni Wamisionari. Alitaka shirika hilo jipya lizingatie utunzaji wa wanawake wote na kupigania haki zao[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Machi 1998 na Papa Benedikto XVI mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz