Mia
Mia (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 100 (moja sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida , ila kwa namba za Kirumi Ⅽ tu (kutokana na neno la Kilatini centum, yaani mia moja).
Ni namba asilia inayofuata 99 na kutangulia 101.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5 x 5.
Ni mraba wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 102.
Namba 100 ni msingi wa asilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.
Matumizi
Tanbihi
- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group. (1987): 133
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz