Sifuri
nambari
Sifuri (au sufuri kutoka Kiarabu sifr iliyotafsiri neno la Kisanskrit sunya lenye maana ya mahali patupu) ni namba ya pekee ambayo haina thamani peke yake, mpaka iandikwe baada ya namba nyingine yoyote: hapo inazidisha thamani yake mara kumi. Kwa kawaida inaandikwa 0 lakini ٠ kwa namba za Kiarabu.
Kwa Kiswahili namba hiyo inaitwa pia ziro kutokana na neno hilohilo la Kiarabu lakini kwa kupitia Kiitalia, Kifaransa na hatimaye Kiingereza (inapoandikwa zero).
Sifuri kama namba ilianza kutumika India kabla ya karne ya 9 BK, pengine hata karne ya 3.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Search for the world's first zero leads to the home of Angkor Wat
- A History of Zero Archived 4 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Zero Saga
- The History of Algebra Archived 9 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- Edsger W. Dijkstra: Why numbering should start at zero, EWD831 (PDF of a handwritten manuscript)
- "My Hero Zero" Archived 5 Februari 2009 at the Wayback Machine. Educational children's song in Schoolhouse Rock!
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sifuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz