Nagarjuna

Nāgārjuna (150 hivi – 250 hivi) ni kati ya wanafalsafa bora wa Ubuddha.[1] Pamoja na mwanafunzi wake Āryadeva, anahesabiwa kuwa mwanzilishi wa shule Madhyamaka ya madhehebu ya Mahayana.[1] [2]

Sanamu ya dhahabu ya Nāgārjuna katika Kagyu Samye Ling Monastery, Uskoti.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nagarjuna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.