Oblast huru ya Kiyahudi
Oblast huru ya Kiyahudi (kwa Kirusi: Еврейская автономная область) ni eneo la shirikisho la Russia lililopo mashariki mwa Urusi mpakani kwa China.
Linaitwa hivyo kwa sababu lilianzishwa kwa lengo la kuhifadhi Wayahudi wa Urusi na utamaduni wao. Lakini kwa sasa hao ni 0.2% tu kati ya wakazi wote wa eneo hilo.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oblast huru ya Kiyahudi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz