Papa Boniface IV

Papa Boniface IV, O.S.B. (takriban 5508 Mei 615) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Agosti 608 hadi kifo chake[1]. Alitokea mkoa wa Abruzzi, Italia[2][3]. Baba yake alikuwa tabibu, jina lake Yohane.

Papa Bonifasi IV.

Alimfuata Papa Bonifasi III akafuatwa na Papa Adeodato I.

Chini ya Papa Gregori I alikuwa shemasi mkuu[4].

Alistawisha umonaki na kugeuza Pantheon, hekalu la miungu yote mjini Roma, kuwa kanisa kwa heshima ya Bikira Maria na wafiadini wote[5].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei[6].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Beda Mhashamu, Historia ecclesiastica gentis Anglorum
  • Gasquet, Francis Aidan. A Short History of the Catholic Church in England, 19
  • Gregorovius, Ferdinand. II, 104
  • Hunt, William. The English Church from Its Foundation to the Norman Conquest. Vol. 1. "A History of the English Church", W. R. W. Stephens and William Hunt, ed. London: Macmillan and Co., 1901. 42
  • Jaffé, Regesta Pontificum Romanorum ab condita ecclesia ad annum 1198. Berlin, 1851; 2d ed., Leipsic, 1881–88. I, 220
  • Joseph Langen, Geschichte der Römischen Kirche, 501
  • Liber Pontificalis (ed. Duchesne), I, 317
  • Mann, Horace K. Lives of the Popes I, 268–279
  • Mansi, Gian Domenico. X, 501
  • Paulo Shemasi, History of the Longobards, IV, 36 (37)

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.