25 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Agosti ni siku ya 237 ya mwaka (ya 238 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 128.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ludoviko IX, Yosefu Calasanz, Eusebi, Ponsiani na wenzao, Jenesi wa Arles, Geronsi wa Sevilia, Mena wa Konstantinopoli, Gregori wa Utrecht, Thoma Cantelupe n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.