Papa Gregori X
Papa Gregori X (takriban 1210 – 10 Januari 1276) alikuwa Papa kuanzia 1 Septemba 1271/27 Machi 1272 hadi kifo chake[1]. Alitokea Piacenza, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Uchaguzi wake ulichukua muda mrefu kuliko zote (miaka mitatu).
Alimfuata Papa Klementi IV akafuatwa na Papa Inosenti V.
Tarehe 8 Julai 1673 Papa Klementi XI alimtangaza mwenye heri.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz