Prince

Prince Rogers Nelson (7 Juni 1958 - 21 Aprili 2016) alikuwa mwigizaji wa filamu na mwanamuziki maarufu wa muziki wa funk, R&B na rock kutoka nchini Marekani.

Prince

Maelezo ya awali
Amezaliwa(1958-06-07)Juni 7, 1958
Minneapolis, Minnesota, Marekani
Asili yakeMinneapolis, Minnesota, Marekani
Amekufa21 april 2016
Aina ya muzikiFunk, R&B, rock
Miaka ya kazi1976-2016
StudioWarner Bros., Paisley Park, NPG, Columbia, Arista, Universal
Tovutihttp://www.paisleyparkstudios.com/

Viungo vya nje