Saint Lucia

Saint Lucia ni nchi ya kisiwani katika bahari ya Karibi na sehemu ya visiwa vya Antili Ndogo. Iko katikati ya visiwa vya Saint Vincent na Grenadini, Barbados na Martinique.

Saint Lucia


Ramani ya St. Lucia

Kisiwa kina milima mingi.

Watu

Wakazi walio wengi ni wa asili ya Afrika (70.3%) au machotara Waafrika-Wazungu (10.8%) na Waafrika-Wahindi (10%).

Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini wananchi wengi (95%) wanaongea kwa kawaida Patwah, Krioli inayotokana na Kifaransa.

Upande wa dini, wengi ni Wakristo: 70% ni Wakatoliki, 7% Waadventista Wasabato, 6% Wapentekoste, n.k.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Lucia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.