Soko la hisa

Soko la hisa (kwa Kiingereza "stock exchange") ni mahali pa biashara ya hisa za makampuni.

New York Stock Exchange ni soko la hisa lenye biashara nyingi duniani.

Mara nyingi "soko la hisa" lamaanisha taasisi au jengo ambako biashara hii inafanywa. Lakini jina hili laweza pia kumaanisha jumla ya biashara ya hisa katika nchi fulani au katika tawi la uchumi (ing. "share / stock market") kwa kujumlisha taasisi mbalimbali katika nchi au biashara kwa njia ya intaneti.

Masoko ya hisa muhimu ya kimataifa

  • American Stock Exchange
  • Bombay Stock Exchange
  • Euronext
  • Frankfurt Stock Exchange
  • Helsinki Stock Exchange
  • Hong Kong Stock Exchange
  • Johannesburg Securities Exchange
  • London Stock Exchange
  • Madrid Stock Exchange
  • Milan Stock Exchange
  • Nairobi Stock Exchange
  • NASDAQ
  • National Stock Exchange
  • New York Stock Exchange
  • São Paulo Stock Exchange
  • Korea Stock Exchange
  • Shanghai Stock Exchange
  • Singapore Exchange
  • Stockholm Stock Exchange
  • Taiwan Stock Exchange
  • Tokyo Stock Exchange
  • Toronto Stock Exchange
  • Zürich Stock Exchange

Masoko ya hisa muhimu zaidi barani Afrika

Kwa jumla kuna masoko ya hisa 29 barani Afrika yanayohudumia nchi 38.

Kuna masoko ya hisa 2 ya kikanda ambayo ni:

Masoko ya hisa ya kwanza katika Afrika yaliundwa Misri (mwaka 1883), Afrika Kusini (mwaka 1887) na Moroko (1929).

Nchi/ KandaSoko la HisaMahalililianzishwaIdadi ya makampuniKiungo
Soko la hisa la Afrika MagharibiBourse Régionale des Valeurs MobilièresAbidjan (  Côte d'Ivoire)199839BRVM
 AlgeriaSoko la hisa AlgiersAlgiers19973SGBV
 BotswanaSoko la hisa BotswanaGaborone198944BSE
 CameroonSoko la hisa DoualaDouala20012DSX
 EgyptSoko la hisa MisriKairo, Aleksandria1883EGX Archived 22 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
 Cape VerdeSoko la hisa Cabo VerdeMindeloBVC
 EswatiniSoko la hisa Eswatini*Mbabane199010ESE Archived 19 Juni 2021 at the Wayback Machine.
 GhanaSoko la hisa GhanaAccra199028GSE
 KenyaSoko la hisa NairobiNairobi195450NSE
 LibyaSoko la hisa LibyaTripoli20077LSM Archived 14 Januari 2018 at the Wayback Machine.
 MalawiSoko la hisa MalawiBlantyre19958MSE
 MauritiusSoko la hisa MorisiPort Louis198840SEM
 MoroccoSoko la hisa CasablancaCasablanca192981Casa SE Archived 24 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
 MozambiqueSoko la hisa MsumbijiMaputo1999BVM
 NamibiaSoko la hisa NamibiaWindhoek1992NSX
 NigeriaSoko la hisa AbujaAbuja1998ASCE Archived 1 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Soko la hisa NigeriaLagos1960223NSE Archived 6 Oktoba 2020 at the Wayback Machine.
 RwandaSoko la hisa RwandaKigali20054RSE
 SeychellesSoko la hisa Shelisheli*Victoria201210SSE Archived 27 Oktoba 2012 at the Wayback Machine.
 South AfricaSoko la hisa JohannesburgJohannesburg1887410JSE
 SudanSoko la hisa KhartumKhartumKSE Archived 27 Novemba 2012 at the Wayback Machine.
 TanzaniaSoko la hisa Dar es SalaamDar es Salaam199817DSE
 TunisiaSoko la hisa TunisiaTunis196956BVMT
 UgandaSoko la hisa UgandaKampala199714USE
 ZambiaSoko la hisa za kilimo ZambiaLusaka2007ZAMACE
Soko la hisa LusakaLusaka199416LuSE
 ZimbabweSoko la hisa ZimbabweHarare199381ZSE

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko la hisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.