Suwon

Suwon (Kikorea: 수원) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,086,904 (mwaka 2008).

Suwon

Jiografia

Eneo lake ni 121.1 km².

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu "Suwon" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Suwon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.