Kikorea

MIMI NI MGOJWA

Kikorea (kwa Kikorea: 한국어, Hangeul; 한국말, Hangukmal; 조선말, Chosŏnmal) ni lugha ya Korea Kusini na Korea Kaskazini.

KikoreaAlfabeti ya KilatinKiswahili
안녕하십니까Annyeong hashimnikkaHabari ya asubuhi!
안녕하세요!An-yŏng-ha-se-yo!Hujambo!
어떻게 지내세요?Eotteohke jinaeseyo?Habari yako?
NeNdiyo
아니요AniyoHapana
성함이 어떻게 되십니까?Sungham ee uttoke daesipnikaJina lako ni nani?
어디서 오셨어요?Eodiseo osyeosseoyo?Unatoka wapi?
영어를 할수 있어요?Yeongeorul malsum halsu isseoyo?Unazungumza kiingereza?
감사합니다KamsahamnidaAsante
ilmoja
eembili
samtatu
sanne
otano
yuksita
chilsaba
palnane
gutisa
shipkumi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.