Teluri


Teluri (kutoka kilatini tellus "ardhi") ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 127.60.

Teluri (tellurium)
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Jina la ElementiTeluri (tellurium)
AlamaTe
Namba atomia53
Mfululizo safuSimetali
Uzani atomia 127.60
Valensi2, 8, 18, 18, 6
Densiti6.24 g/cm³
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka722.66 K (449.51°C)
Kiwango cha kuchemka1261 K (988 °C)
Asilimia za ganda la dunia1 · 10-6 %
Hali maada mango
Mengineyo

Tabia

Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.

Matumizi

Hutumiwa hasa katika aloi mbalimbali na kama nusukipitisho.


Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teluri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.