Ubaldo wa Gubbio

Ubaldo wa Gubbio (Gubbio, Umbria, Italia, 1084 hivi - Gubbio, 1160) alikuwa askofu wa mji huo baada ya kuishi kama kanoni na kama mmonaki[1].

Mt. Ubaldo katika mavazi ya kiaskofu.

Alijitahidi kufufua maisha ya kijumuia kati ya mapadri wanajimbo.

Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu hasa baada ya kutangazwa na Papa Selestini III tarehe 4 Machi 1192.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.