16 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 16 Mei ni siku ya 136 ya mwaka (ya 137 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 229.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi na Genadi, Fiorensi na Dioklesyani, Abda na Ebediesi, Pelegrini wa Auxerre, Posidi, Fidoli, Brendan Baharia, Honorati wa Amiens, Karanogi, Wafiadini wa Mar Saba, Jermeri, Ubaldo wa Gubbio, Adamu wa Fermo, Andrea Bobola n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 16 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.