Vikta wa Capua

Vikta wa Capua (alifariki Capua, Campania, Italia, 2 Aprili 554) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 541 akimfuata Jermano wa Capua[1].

Mwenye elimu kubwa, aliandika vitabu mbalimbali kuhusu Biblia na liturujia, lakini zimetufikia sehemu tu[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Ferdinando Ughelli, Italia sacra, VI, 306
  • Jean Baptiste Francois Pitra, Spicilegium solesmense, I (Paris, 1852), p. 1 sq., 265 sq., 287, 296
  • Theodor Zahn, Forschungen zur Geschichte des neutestamentlichen Kanons, II, 535
  • Otto Bardenhewer (translator Thomas J. Shahan), Patrology, p. 628.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.