Yosefu Manyanet

Yosefu Manyanet (jina kamili: Josep Manyanet i Vives; Tremp, Lleida, 7 Februari 1833 – San Andreu del Palomar, Barcelona, 17 Desemba 1901) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Hispania. Baada ya kuwa paroko sehemu mbalimbali, alianzisha shirika la Wana wa Familia Takatifu, pamoja na lile ya Mabinti Wamisionari wa Familia Takatifu.[1][2]

Mt. Yosesu Manyanet.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 25 Novemba 1984 halafu mtakatifu tarehe 16 Mei 2004.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

Tanbihi

Machapisho yake

  • A Priceless Family Gem (1909)
  • The Spirit of the Holy Family
  • Selected Works (1911)
  • Complete Works

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.