Bertha von Suttner
Bertha Félicie Sophie von Suttner (9 Juni 1843 – 21 Juni 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria. Hasa aliandika riwaya kwa ajili ya kuhamasisha amani ya kimataifa. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
- Claus Bernet: Bertha von Suttner, in: BBKL, 24, 2005, 1435-1471, online: http://www.bbkl.de/s/s4/suttner_s_f.shtml
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bertha von Suttner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz