Tuzo ya Nobel ya Amani

Tuzo ya Nobel ya Amani inatolewa na kamati ya Nobel ya Norway iliyochaguliwa na Bunge ya Norway kufuatana na wasia ya Alfred Nobel.

Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na watu wafuatao au taasisi zifuatazo:


1901Henri Dunant na Frederic Passy

1902Elie Ducommun na Charles-Albert Gobat

1903Randal Cremer

1904Taasisi ya Haki ya Kimataifa

1905Bertha von Suttner

1906Theodore Roosevelt

1907Ernesto Teodoro Moneta na Louis Renault

1908Klas Pontus Arnoldson na Fredrik Bajer

1909Auguste Beernaert

1910Ofisi ya Kimataifa ya Amani

1911Tobias Asser na Alfred Fried

1912Elihu Root

1913H. La Fontaine

1914-16(hakuna tuzo ya Amani)

1917Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu

1918(hakuna tuzo ya Amani)

1919Woodrow Wilson

1920Leon Bourgeois

1921Karl Hjalmar Branting na Christian Louis Lange

1922Fridtjof Nansen

1923(hakuna tuzo ya Amani)

1924(hakuna tuzo ya Amani)

1925Austen Chamberlain na Charles Dawes

1926Aristide Briand na Gustav Stresemann

1927Ferdinand-Edouard Buisson na Ludwig Quidde

1928(hakuna tuzo ya Amani)

1929Frank Kellogg

1930Nathan Söderblom

1931Nicholas Butler na Jane Addams

1932(hakuna tuzo ya Amani)

1933Norman Angell

1934Arthur Henderson

1935Carl von Ossietzky

1936Carlos Saavedra Lamas

1937Cecil of Chelwood

1938Tume ya Nansen kwa Wakimbizi

1939-43 Tuzo ya Nobel haikutolewa kwa sababu ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

1944Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu

1945Cordell Hull

1946Emily Balch na John Raleigh Mott

1947Jumuiya ya Marafiki (‘’Society of Friends’’)

1948(hakuna tuzo ya Amani)

1949John Boyd-Orr

1950Ralph Bunche

1951Leon Jouhaux

1952Albert Schweitzer

1953George Marshall

1954Ofisi ya Kamishna wa Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi

1955(hakuna tuzo ya Amani)

1956(hakuna tuzo ya Amani)

1957Lester Pearson

1958Padre Dominique Pire

1959Philip Noel-Baker

1960 Albert Lutuli

1961 Dag Hammarskjöld

1962 Linus Pauling

1963 Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu

1964 Martin Luther King

1965 UNICEF

1966 (hakuna tuzo ya Amani)

1967 (hakuna tuzo ya Amani)

1968 Rene Cassin

1969 Shirika la Kimataifa la Kazi (I.L.O.)

1970 Norman Borlaug

1971 Willy Brandt

1972 (hakuna tuzo ya Amani)

1973 Henry Kissinger na Le Duc Tho

1974 Sean MacBride na Eisaku Sato

1975 Andrei Sakharov

1976 Betty Williams na Mairead Corrigan

1977 Amnesty International

1978 Anwar Al-Sadat na Menachem Begin

1979 Mama Teresa

1980 Adolfo Esquivel

1981 Ofisi ya Kamishna wa Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi

1982 Alva Myrdal na Alfonso Gobles

1983 Lech Wałęsa

1984 Askofu Desmond Tutu

1985 Shirika la Madaktari wa Kimataifa kwa Kuzuia Vita ya Nyuklia

1986 Elie Wiesel

1987 Oscar Sanchez

1988 Majeshi ya Kukinga Amani ya Umoja wa Mataifa

1989 Tenzin Gyatso

1990 Mikhail Gorbachev

1991 Aung San Suu Kyi

1992 Rigoberta Menchu

1993 Nelson Mandela na Frederik Willem de Klerk

1994 Yasser Arafat, Shimon Peres na Yitzhak Rabin

1995 Joseph Rotblat

1996 Carlos Ximenes Belo na Jose Ramon Horta

1997 Jody Williams

1998 John Hume na David Trimble

1999 Shirika la Médecins sans Frontières

2000 Kim Dae Jung

2001 Kofi Annan na Umoja wa Mataifa

2002 Jimmy Carter

2003 Shirin Ebadi

2004 Wangari Maathai

2005 Mohamed ElBaradei

2006 Muhammad Yunus na Benki ya Grameen

2007 Al Gore na Intergovernmental Panel on Climate Change

2008 Martti Ahtasaari

2009 Barack Obama

2010 Liu Xiaobo

2011 Ellen Johnson Sirleaf, Leymah Gbowee, na Tawakel Karman

2012 Umoja wa Ulaya

2013 Organisation for the Prohibition of Chemical Weapons

2014 Kailasha Satyarthi na Malala Yousafzai

2015 Harakati ya Mazungumzo ya Kitaifa ya Tunisia

2016 Juan Manuel Santos