Bona wa Pisa

Bona wa Pisa (Pisa, Italia, 1156 - 29 Mei 1207) alikuwa bikira aliyemfuata tangu ujanani Yesu Kristo katika familia ya kiroho ya Waaugustino kwa kuhiji mara kadhaa Roma, Nchi takatifu na hasa Santiago de Compostela pamoja na kuhudumia waliokwenda huko[1].

Mt. Bona alivyochorwa na Giovanni Lorenzetti Fusari, 2003.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.