Diego Forlán

Diego Forlán (alizaliwa 19 Mei 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uruguay. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uruguay.

Forlán ameichezea timu ya taifa ya Uruguay tangu mwaka wa 2002. Forlán alicheza Uruguay katika mechi 112, akifunga mabao 36.[1]

Takwimu

[1]

Timu ya Taifa ya Uruguay
MwakaMechiMagoli
200252
200375
2004112
200592
200630
200795
200873
200993
2010117
2011133
201291
2013143
201450
Jumla11236

Tanbihi

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Forlán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.