Eleuteri wa Paris

Eleuteri wa Paris alikuwa Mkristo wa karne ya 3 kutoka Roma (Italia).

Kifodini cha Mt. Denis na wenzake, Basilika la Mt. Denis.

Akiwa padri huko Paris (Ufaransa) aliuawa pamoja na askofu Denis na shemasi Rusticus kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.