9 Oktoba

tarehe
Sep - Oktoba - Nov
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Oktoba ni siku ya 282 ya mwaka (ya 283 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 83.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Denis na wenzake, Yohane Leonardi, Abrahamu, Diodori, Diomede na Didimo, Donino wa Fidenza, Publia wa Antiokia, Gisleno, Deusdedit wa Montecassino, Alois Bertran, John Henry Newman, Inosenti wa Imakulata na wenzake n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.