Eujenia wa Roma

Eujenia wa Roma (alifariki mjini Roma[1], Italia, 258 hivi[2]) alikuwa mwanamke Mkristo wa jiji hilo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Kifodini chake katika dirisha la kioo cha rangi, kanisa la "Notre Dame de Clignancourt" huko Paris, Ufaransa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Desemba[3] au nyinginezo katika Ukristo wa Mashariki[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Giovanni Battista de Rossi, La Roma Sotterranea Cristiana descritta ed illustrata (6 voll.), Roma 1864-1877.
  • Liber Pontificalis. Texte, introduction et commentaire par l'abbé L. Duchesne (2 voll.), Parigi-Torino 1886-1892.
  • Bibliotheca Hagiographica Latina, antiquae et mediae aetatis, ediderunt Socii Bollandiani, Bruxelles 1900-1901.
  • Bibliotheca Sanctorum (12 voll.), Istituto Giovanni XXIII della Pontificia Università Lateranense, Città nuova, Roma 1961-1971.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.