Giulio Natta
Kemia wa Kiitaliano
'
Giulio Natta | |
---|---|
Mwanakemia Giulio Natta | |
Amezaliwa | 26 Februari 1903 |
Amefariki | 2 Mei 1979 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya Italia |
Giulio Natta (26 Februari 1903 – 2 Mei 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza ubunifu wa molekuli ndefu ili kuboresha plastiki. Mwaka wa 1963, pamoja na Karl Ziegler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giulio Natta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz