26 Februari

tarehe
Jan - Februari - Mac
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 26 Februari ni siku ya hamsini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 308 (309 katika miaka mirefu).

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Aleksanda wa Aleksandria, Faustiniani wa Bologna, Porfiri wa Gaza, Agrikola wa Nevers, Vikta mkaapweke, Andrea wa Firenze, Paula Montal n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 26 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.