Kachumbari
Kachumbari (kutoka neno la Kihindi cachumber) ni mchanganyiko wa viungo kama pilipili, chumvi na mboga na matunda mbalimbali kama nyanya, vitunguu, kabichi, matango, nanasi, parachichi n.k.
Mara nyingi hutumika pamoja na pilau, wali, nyama choma n.k. ili kuongeza ladha ya chakula.
Kachumbari ni maarufu sana katika Nchi za Maziwa Makuu.
Viungo vya nje
- Jinsi ya kuandaa kachumbari Archived 26 Julai 2018 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kachumbari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz