Kesha Rose Sebert
Mwandishi na Muimbaji wa Marekani
Kesha Rose Sebert (ambaye zamani aliitwa Ke$ha; alizaliwa Machi 1, 1987) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.[1]
Mnamo mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 18, Kesha alijiunga na rekodi lebo ya Kemosabe Records. Mafanikio yake makubwa ya kwanza yalianza mwaka 2009 baada ya kushirikishwa na rapa maarufu wa Marekani Flo Rida.
Marejeo
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kesha Rose Sebert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz