Kinorwei

Kinorwei (Kinorwei: norsk) ni lugha ya Kigermanik ya Kaskazini katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kinorwei
norsk
Pronunciation[nɔʂk]
Inazungumzwa nchiniNorwei
Jumla ya wazungumzaji4,700,000
Familia ya lughaLugha za Kihindi-Kiulaya
Standard forms
Bokmål
Nynorsk
Mfumo wa uandikajiAlfabeti ya Kilatini
Hadhi rasmi
Lugha rasmi nchiniNorwei
Hurekebishwa naSpråkrådet
Misimbo ya lugha
ISO 639-1no
ISO 639-2nor
ISO 639-3nor

Kinorwei kinasemwa na watu 4,700,000 hivi, na ni lugha rasmi nchini Norwei.

Kinorwei, Kiswidi na Kidenmark vinavyoitwa lugha za Skandinavia ya bara vinahusiana sana.

Kinorwei kina insha rasmi mbili: bokmål na nynorsk.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinorwei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.